Joshua 3:4

4 aNdipo mtakapotambua njia mtakayoiendea, kwa kuwa hamjawahi kuipita kabla. Lakini msisogee karibu, bali kuwe na umbali wa dhiraa 2,000
Dhiraa 2,000 ni sawa na mita 900.
kati yenu na Sanduku.”

Copyright information for SwhKC